WATU WENYE ULEMAVU WAKISHIRIKI KATIKA KILIMO

Watu wenye ulemavu zanzibar wakishiriki katika kilimo kuhakikisha wanakuza uchumi na kuweza kutengeneza mazingira yao binafsi kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na maendeleo ya watu wenye ulemavu kwa ujumla.Kauli mbiu wakisema”WATU WENYE ULEMAVU TUNAWEZA KUJIKWAMUA KIMAISHA KUPITIA KILIMO,TUKIPEWA NYENZO TUNAWEZA”.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *